Ukiweza kuiona picha ya huyo mama hapo kwenye rangi ya kijani ujijuwe uanyo Power ya AUra. Mkuu Pasco uko wapi? Angalia kwenye kidoti cha pua kwa sekunde 10 kisha angalia hapo palipokuwa wazi utaona nini?
waongo hakuna kitu bwana inabakia ile ile empty!!
msije mkawa kama yule mfalem aliyedanganywa na abunuasi akatembea uchi- alishonewa ngua ambau wapumbavu na wajinga hawawezi kuona. mwisho dogo mmoja akaanza mfalme ahana nguo!!