GreatThinkers,
Wakazi wa mabondeni inafahamika wazi kuwa ni wavamizi wa yale mabonde licha ya kuwa baadhi walipewa hadi hati ya umiliki kwa njia isiyo rasmi.
Jk ametenga eneo la Mabwepande ili hawa ndg wahamishiwe.....FINE!
Kilichonishangaza ni kuwa JK huyuhuyu ameamuru wananchi waliovamia Mabwepande wavunjiwe nyumba zao ili kupisha upimaji na ugawaji viwanja vipya vya hawa wa mabondeni. Unasolve tatizo,unazalisha lingine pale pale!!!!!
Swali langu, Kama ndiyo ungekuwa wewe mtoa maamuzi ungeamua vipi?
Unasemaje juu Kiongozi kama huyu ambaye anawashauri lukuki na wanalipwa kwa kodi yako?
Je, kama huyu ndiye TOP thinker wa Taifa, unafikiri tutafika?
kuna watu wanasema kuna Ombwe(Vacuum) la uongozi-wewe unasemaje?
wewe ni mzushi unaleta habari nusu nusu ili upotoshe,masaburi yanakuwasha bila shaka.
ukweli ni kwamba,J K ametoa viwanja kwa waathirika wa mafuriko huko mabwepande na kwamba eneo la wakazi wa zamani litapimwa upya,nao watanufaika na mpango huo ili kuondoa squater katika eneo hilo.
Kwani tatizo hujui la jk? Phd feki!! Ha ha haaaaaaaaa
Mi ningekuwa kwenye mamlaka, ningewakamata wale waliaothirika na mafuriko na kuwapeleka mahakamani kwa sababu walikuwa wamejenga sehemu ambayo haikuruhusiwa. kama wana vibali vya ujenzi, ningewakamata na hao waliwapa vibali na kuwaunganisha kwenye kesi hiyoGreatThinkers,
Wakazi wa mabondeni inafahamika wazi kuwa ni wavamizi wa yale mabonde licha ya kuwa baadhi walipewa hadi hati ya umiliki kwa njia isiyo rasmi.
Jk ametenga eneo la Mabwepande ili hawa ndg wahamishiwe.....FINE!
Kilichonishangaza ni kuwa JK huyuhuyu ameamuru wananchi waliovamia Mabwepande wavunjiwe nyumba zao ili kupisha upimaji na ugawaji viwanja vipya vya hawa wa mabondeni. Unasolve tatizo,unazalisha lingine pale pale!!!!!
Swali langu, Kama ndiyo ungekuwa wewe mtoa maamuzi ungeamua vipi?
Unasemaje juu Kiongozi kama huyu ambaye anawashauri lukuki na wanalipwa kwa kodi yako?
Je, kama huyu ndiye TOP thinker wa Taifa, unafikiri tutafika?
kuna watu wanasema kuna Ombwe(Vacuum) la uongozi-wewe unasemaje?
GreatThinkers,
Wakazi wa mabondeni inafahamika wazi kuwa ni wavamizi wa yale mabonde licha ya kuwa baadhi walipewa hadi hati ya umiliki kwa njia isiyo rasmi.
Jk ametenga eneo la Mabwepande ili hawa ndg wahamishiwe.....FINE!
Kilichonishangaza ni kuwa JK huyuhuyu ameamuru wananchi waliovamia Mabwepande wavunjiwe nyumba zao ili kupisha upimaji na ugawaji viwanja vipya vya hawa wa mabondeni. Unasolve tatizo,unazalisha lingine pale pale!!!!!
Swali langu, Kama ndiyo ungekuwa wewe mtoa maamuzi ungeamua vipi?
Unasemaje juu Kiongozi kama huyu ambaye anawashauri lukuki na wanalipwa kwa kodi yako?
Je, kama huyu ndiye TOP thinker wa Taifa, unafikiri tutafika?
kuna watu wanasema kuna Ombwe(Vacuum) la uongozi-wewe unasemaje?
GreatThinkers,
Wakazi wa mabondeni inafahamika wazi kuwa ni wavamizi wa yale mabonde licha ya kuwa baadhi walipewa hadi hati ya umiliki kwa njia isiyo rasmi.
Jk ametenga eneo la Mabwepande ili hawa ndg wahamishiwe.....FINE!
Kilichonishangaza ni kuwa JK huyuhuyu ameamuru wananchi waliovamia Mabwepande wavunjiwe nyumba zao ili kupisha upimaji na ugawaji viwanja vipya vya hawa wa mabondeni. Unasolve tatizo,unazalisha lingine pale pale!!!!!
Swali langu, Kama ndiyo ungekuwa wewe mtoa maamuzi ungeamua vipi?
Unasemaje juu Kiongozi kama huyu ambaye anawashauri lukuki na wanalipwa kwa kodi yako?
Je, kama huyu ndiye TOP thinker wa Taifa, unafikiri tutafika?
kuna watu wanasema kuna Ombwe(Vacuum) la uongozi-wewe unasemaje?
Hivi bado kuna watu mnapataga muda wa kumjadili Jk?
kikwete ni rais muungwana sana.anacheka na kunywa juice pamoja na wabaya wake?
aaaahhh kweli mkuu mtu anaepata muda wa kumjadili JK naona kama hana kazi ya kufanya,yawezekana hili halina ukweli halisi lakini JK ni wa hovyo tuu!!mengi ya ajabu tunayaona uongozi sifuri pale,mandela au Msoga ni sehemu za kutoa watu wenye uwezo wa kufikiri?mmmmh wapiiiiiiiiiii!!!!!