Safi sana mkuu, Mimi ni mdau wa kilimo pia japo nadili sana na vitunguu Maji.
Kwa Jf hawaelewagi sana haya mavitu, cheki na fb au whatsapp groups.
Lakini pia do a physical market search like kwenda kuonana na wafanyabiashara mabibo, k,koo ,tandale n. K. Check madalali ili uuze fasta ukizingatia kua hoho ni perishable product..
Hongera sana