N ngawia JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 848 Reaction score 871 Mar 6, 2014 #1 wana jamvi nauliza duka gani naweza kununua pikipiki mpya hapa dar kwa tsh ml moja na nusu
eddocreater Member Joined Aug 31, 2012 Posts 65 Reaction score 18 Mar 6, 2014 #2 Jaribu kariakoo kwa wakala wa pikipiki za kichina coz za muhindi zote zinaanzia mill 2 yaani boxer, honda, kapur n.k
Jaribu kariakoo kwa wakala wa pikipiki za kichina coz za muhindi zote zinaanzia mill 2 yaani boxer, honda, kapur n.k