M Mukose Member Joined May 19, 2012 Posts 95 Reaction score 29 Oct 14, 2013 #1 Nahitaji pikipiki aina ya boxer bm 100 ama 150, ama honda zilizoingia sasa engine capacity 125. Bei isizidi 1,000,000. Kama unayo ni pm mara moja. Ni mkazi wa ilala dar.
Nahitaji pikipiki aina ya boxer bm 100 ama 150, ama honda zilizoingia sasa engine capacity 125. Bei isizidi 1,000,000. Kama unayo ni pm mara moja. Ni mkazi wa ilala dar.
Domhome JF-Expert Member Joined Jun 28, 2010 Posts 3,198 Reaction score 3,975 Oct 14, 2013 #2 NKUCHA Kwanini usinunue mpya? Boxer BM 150 ni Tshs 2,050,000= Ukipata kwa hiyo 1,000,000= ninahakika itakuwa na walakini....Tafakari Chukua hatua!!!
NKUCHA Kwanini usinunue mpya? Boxer BM 150 ni Tshs 2,050,000= Ukipata kwa hiyo 1,000,000= ninahakika itakuwa na walakini....Tafakari Chukua hatua!!!