Pikipiki ya kuchaji inauzwa

Maulid jnr

Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
66
Reaction score
60
Habari ndugu, nauza pikipiki ya kuchaji aina ya linkall . Bado iko imara bei 550k (maingezi yapo) nicheki kwa 0783150130 chapu uchukue mali
 

Attachments

  • E983FC85-0239-44F9-9796-0903CF727E5F.jpeg
    3.1 MB · Views: 112
  • CFCA1C43-1242-46E3-B8F3-8FE0D383E4C5.jpeg
    2.6 MB · Views: 94
  • C75010D9-579E-4B0C-A637-7843CCD97343.jpeg
    2.8 MB · Views: 85
  • 4609E6F3-ACF9-486F-A7D2-C5BDAB0016F9.jpeg
    2.6 MB · Views: 103
mi natafuta punda mkuu hakuna aneuza punda huko niko dsm nataka punda 2
 
chaji yake masaa mangapi?sitaki jibu kulingana na safari yako.
 
Reactions: K11
Hata kuiosha mkuu? Au ni ya jirani yako unasubiri itumwe pesa ndio iwe yako kizambuli
 
Habari ndugu, nauza pikipiki ya kuchaji aina ya linkall . Bado iko imara bei 550k (maingezi yapo) nicheki kwa 0783150130 chapu uchukue mal
⚠️ANGALIZO⚠️
kama utakuwa umeipenda piki piki hakikisha mnunuzi anakubadilishia battery anakuwekea jipya

Piki piki za kuchaji shida huwa ni battery kuishiwa uwezo so kama mnunuzi mtajarajiwa nimeshakupa warning ....utapewa piki piki ina weza kutembea kutoka chumbani kwako hadi chooni kwako battery limeisha

Cheza sana na life ya battery ikibid akupe mpya
 
Hivi hizi battery zake Huwa hazina ukubwa sahihi in terms of N or Ah..?
 
Battery pack yake zinakaa batteries ngapi na kila battery shilingi ngapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…