displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,091
- Thread starter
-
- #21
Shukrani maana habari imepita chap chap tu... wacha nipitie huo uzi....!!Hii pikipiki taarifa zake zilisambaa siku nyingi sana mitandaoni, hadi baadhi ya magazeti yakaandika.
Soma hapa uweze kupata upembuzi zaidi
Ukweli kuhusu pikipiki ya maajabu Dar
Hata mimk nimepata kuiona na nataka kesho niende hadi kituoni pale nikaione kabisa
Mvua, Jua, Vumbi, n.kimetisha ila imechoka choka sana sasa sijui inaharibikaje!!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Akigusa tuu ChizMkuu utupigie na picha za kutosha... usisahau kujaribu kupanda kama wataka endesha hivi au kuwa kama abiria!!
Kwa hiyo wewe unapingana na Mtukufu Mwenyekiti wako wa Chama kuhusu sera yake ya Tanzania ya Viwanda?Huu ugoro wako unahusiana vipi na mada!!?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Akigusa tuu Chiz
Kwa hiyo wewe unapingana na Mtukufu Mwenyekiti wako wa Chama kuhusu sera yake ya Tanzania ya Viwanda?
Huyu jamaa hana akili kabisa,nahisi akili zake zipo chini kama jina lake MOTOCHINI.ndio sababu ya wazo la kuzima mitandao ikaja sababu ya waungwana kama hao.
Hivi hapo ni Temeke? Au huna hoja ya kuandika acheni ujingaHiii hapaView attachment 410436
Temeke magorofaniHivi hapo ni Temeke? Au huna hoja ya kuandika acheni ujinga
Hujamuelewa we mzee, umekurupuka kama uvccm wakati wewe ni jumuiya ya wazazi ya chamaHuu ugoro wako unahusiana vipi na mada!!?
ikikuzimikia unapanda kitonga lazima usome nambaHiii hapaView attachment 410436
Ajabu yake wanadai mtu atakae kuichukua hugeula chizi pia polisi wanapiga chenga kwenda itoambona sijaelewa mmeniacha kidogo.. sasa inajiendesha yenyewe au?? ajabu yake ni nini haswa bado hamjaniweka sawa
Ndio nini sasa,aisee huu ugonjwa,inahusina nini na postDuuuuuuu!! Tanzania ya viwanda
Kapande hyo pkpk acha kuzinguaAcheni kuamini ushirikina, enyi watu hiyo ni dalili ya kusumbuliwa na umasikini na ujinga.
HAKUNA UCHAWI DUNIANI mwenye uwezo aje hapa aniroge.