displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,091
Huu ugoro wako unahusiana vipi na mada!!?Duuuuuuu!! Tanzania ya viwanda
Eti "hii hapa"! Hivi nchi hii inakaliwa na raia wa Bangladeshi?Hiii hapaView attachment 410436
LUMUMBA MNA VIWANDA VYA KUZALISHA UCH.WI TUHuu ugoro wako unahusiana vipi na mada!!?
Hii pikipiki taarifa zake zilisambaa siku nyingi sana mitandaoni, hadi baadhi ya magazeti yakaandika.TV1 Leo hii wameripoti kuwepo kwa pikipiki ya ajabu aina ya FAKON imeonekana katika kijiwe cha Bodaboda huko Temeke.
Inadaiwa mkataba wa makubaliano umevunjika kwa dereva na boss wake kushindwa elewana, yasemekana Mwenye pikipiki ni mtu wa Tanga. Na hiyo pikipiki imetokea Tanga.
Hiyo pikipiki ipo kituoni yapata miaka minne hakunaawezaei ichukua au kuiiba wanadai Watu wanne waliojaribu ichukua wamekuwa machizi.
Pia wanadai huwa inaondoka nyakatifulani ikipiga route zake na kuridi kijiweni kwake.
Maswali ni mengi...wenye taarifa zaidi watujuze na picha pia mshare na wadau.
Picha sikufanikiwa ipata.
Dunia na vijimambp vyake!!
Kwambaaa bado watu kama wewe mnafanya ushirikina badala ya kufanya kaziii...umenierewa??Huu ugoro wako unahusiana vipi na mada!!?
Mwenyewe nimeona nimeshangaa sana
Hiii hapaView attachment 410436
Mleta taarifa una haraka gani?
Ubuyu huu!! Hakuna ukweli hapa