pikipiki sanlg 125 inauzwa

pikipiki sanlg 125 inauzwa

emkey

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
728
Reaction score
137
nauza pikipiki aina ya sanlg original cc 125, rangi nyekundu, nimetumia miezi 6 tu, matumizi binafsi siyo bodaboda, ina kadi na docs zote, imetembea 6000kms, haina tatizo lolote, bei ni 1.3milioni, ipo Dsm. Contact 0714-408238.
 
Punguza kidogo bei nipo mwanza afu tuelewane jinsi ya kuituma.
 
Back
Top Bottom