S SinaChama Senior Member Joined May 1, 2012 Posts 109 Reaction score 59 May 3, 2012 #1 Inashangaza kuona Pikipiki zinaendeshwa kwa uvunjaji mkubwa wa sheria, na maranyingine mbele ya polisi wa barabarani.
Inashangaza kuona Pikipiki zinaendeshwa kwa uvunjaji mkubwa wa sheria, na maranyingine mbele ya polisi wa barabarani.
kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,341 Reaction score 12,068 May 3, 2012 #2 Polisi wenyewe wanabebwa mshikaki, kwa raia itakuweje?
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 May 3, 2012 #3 yaani hawa pikipiki ni headache kubwa sana kwa kweli
Marumeso JF-Expert Member Joined Oct 3, 2009 Posts 1,408 Reaction score 1,334 May 3, 2012 #4 SinaChama said: Inashangaza kuona Pikipiki zinaendeshwa kwa uvunjaji mkubwa wa sheria, na maranyingine mbele ya polisi wa barabarani. Click to expand... Hujachunguza vizuri. Madereva wa magari ya serikali ndio wanaoongoza kuvunja sheria za usalama barabarani.Hao waendesha pikipiki tatizo lao hawazijui sheria za usalama barabarani na wengi wao hata leseni hawana.
SinaChama said: Inashangaza kuona Pikipiki zinaendeshwa kwa uvunjaji mkubwa wa sheria, na maranyingine mbele ya polisi wa barabarani. Click to expand... Hujachunguza vizuri. Madereva wa magari ya serikali ndio wanaoongoza kuvunja sheria za usalama barabarani.Hao waendesha pikipiki tatizo lao hawazijui sheria za usalama barabarani na wengi wao hata leseni hawana.