M Mukose Member Joined May 19, 2012 Posts 95 Reaction score 29 Oct 13, 2013 #1 Nahitaji pikipiki aina ya boxer bm 100 ama 150, ama honda zilizoingia sasa engine capacity 125. Bei isizidi 800,000. Kama unayo ni pm mara moja. Ni mkazi wa ilala dar.
Nahitaji pikipiki aina ya boxer bm 100 ama 150, ama honda zilizoingia sasa engine capacity 125. Bei isizidi 800,000. Kama unayo ni pm mara moja. Ni mkazi wa ilala dar.
Poxino JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 727 Reaction score 53 Oct 15, 2013 #2 boxer laki 8 yakichina yenyewe mkuu huwezi pata kwani mm nilikuja natangazo kama ilo tena mill mwisho wa siku nikanunua mill na laki moja
boxer laki 8 yakichina yenyewe mkuu huwezi pata kwani mm nilikuja natangazo kama ilo tena mill mwisho wa siku nikanunua mill na laki moja
J jiliml Senior Member Joined Jun 12, 2013 Posts 160 Reaction score 24 Oct 18, 2013 #3 Mwenye sanlg used anipm nipo dar tufanye biashara