Ni aina ya Huoniao HN 125, IPO kwenye hali nzuri imetembea 20,000 km, bei maelewano
Ni aina ya Huoniao HN 125, IPO kwenye hali nzuri imetembea 20,000 km, bei maelewano
Nimejaribu Ku upload picha inaandika error, kama una what's up naweza kukutumia picha, nicheki kwenye 0693347206/0714465105Hiyo huoniao bila picha watu wanaijuaje?
Nicheki mkuuShingapi na unapatikana wapi
Weka picha na bei wanunuzi wapo