nimepata mkuu kuna quality sana
Habari wanajamvi..pikipiki aina ya TOYO Cc125 inauzwa! Ina mwaka mmoja barabarani ina document zote..kwa anayehitaji iko musoma mjini tuwasiliane 0768424274/0782277999
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry wakuu kwa kupotea nlisafiri kidogo hivyo kwa bahati mbaya nkawa sina picha yake.pia simu yangu ikawa inazingua kuchaji.kesho ntaweka picha ;Picha
''Aut Vincere Aut Mori''
Weka bei ww
Will yo future thank u 4 tha sht u'r duin 2day?
picha ya bidhaa
Na bei yake mkuu kama hutojali.
Pole kwa kutembelew na ukata mkuu. Kila lakheri
Picha ndio kitu muhimu hujaweka
Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Kwakuweka namba yako wazi hivi,usije kulaumu mods kua wamewapa watu wasiojulikana mawasiliano yako.Habari wanajamvi..pikipiki aina ya TOYO Cc125 inauzwa! Ina mwaka mmoja barabarani ina document zote..kwa anayehitaji iko musoma mjini tuwasiliane 0768424274/0782277999
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa,, Najiamini mkuu sina hofu kwa lolote...wajichanganye kwangu waone motoKwakuweka namba yako wazi hivi,usije kulaumu mods kua wamewapa watu wasiojulikana mawasiliano yako.
Kaa na utambue kua kuanzia sasa unaanza kua monitored na vijana pale Lumumba na wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app