Kitabu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 313 Reaction score 29 Feb 17, 2011 #1 Pikipiki aina ya YAMAHA XT cc250 nimefunga Engene ya Honda cc250.inahali nzuri kabisa.Bei Tsh1800,000/-
Pikipiki aina ya YAMAHA XT cc250 nimefunga Engene ya Honda cc250.inahali nzuri kabisa.Bei Tsh1800,000/-
Masika JF-Expert Member Joined Sep 18, 2009 Posts 723 Reaction score 30 Feb 17, 2011 #2 uko wapi na tutakupataje? kuna mazungumzo?
Kitabu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 313 Reaction score 29 Feb 17, 2011 Thread starter #3 Masika said: uko wapi na tutakupataje? kuna mazungumzo? Click to expand... Nipo Mapinga,baada tu ya Bunju kuelekea Bagamoyo.maongezi yapo Mkuu(0655 857683 au 0717 166455)
Masika said: uko wapi na tutakupataje? kuna mazungumzo? Click to expand... Nipo Mapinga,baada tu ya Bunju kuelekea Bagamoyo.maongezi yapo Mkuu(0655 857683 au 0717 166455)
bank Senior Member Joined Jan 9, 2011 Posts 158 Reaction score 24 Feb 18, 2011 #4 inafaa kwa boda boda? kama ndio nina milioni moja. serious.
semango JF-Expert Member Joined Aug 24, 2010 Posts 532 Reaction score 45 Feb 18, 2011 #5 mkuu weka picha.nimetafuta kitu ya cc250 muda kidogo sasa.weka picha ili nione body kama inalipa pia.na imeshasajiliwa?
mkuu weka picha.nimetafuta kitu ya cc250 muda kidogo sasa.weka picha ili nione body kama inalipa pia.na imeshasajiliwa?
Kitabu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 313 Reaction score 29 Feb 18, 2011 Thread starter #6 semango said: mkuu weka picha.nimetafuta kitu ya cc250 muda kidogo sasa.weka picha ili nione body kama inalipa pia.na imeshasajiliwa? Click to expand... Nitaweka picha,ila inafanana sana na body ya baja au XLR,imetulia kwa kweli.Bodaboda ukipenda waweza itumia,Ila kwa cc250,mjapani!sishauri sana.Imesajiliwa kwa ZNZ.Documents zote zipo,tokea inaingia nchini
semango said: mkuu weka picha.nimetafuta kitu ya cc250 muda kidogo sasa.weka picha ili nione body kama inalipa pia.na imeshasajiliwa? Click to expand... Nitaweka picha,ila inafanana sana na body ya baja au XLR,imetulia kwa kweli.Bodaboda ukipenda waweza itumia,Ila kwa cc250,mjapani!sishauri sana.Imesajiliwa kwa ZNZ.Documents zote zipo,tokea inaingia nchini
Kitabu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 313 Reaction score 29 Feb 18, 2011 Thread starter #7 bank said: inafaa kwa boda boda? kama ndio nina milioni moja. serious. Click to expand... Matumizi utapanga wewe,Ila kwa milioni moja kaka,uko mbali sana,hiyo ni bei ya mchina Mkuu
bank said: inafaa kwa boda boda? kama ndio nina milioni moja. serious. Click to expand... Matumizi utapanga wewe,Ila kwa milioni moja kaka,uko mbali sana,hiyo ni bei ya mchina Mkuu
Kitabu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 313 Reaction score 29 Mar 2, 2011 Thread starter #8 Nimeshusha bei wana JF hadi Tsh 1,600,000/-semeni sasa
Kitabu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 313 Reaction score 29 Mar 11, 2011 Thread starter #9 Kweli Pikipiki ni hobi!!!