Pikipiki inauzwa 800,000

Erick kg

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
314
71
Pikipiki aina ya Skymark B2 original from india Cc125 imetumika miezi 12.

Haina tatizo lolote bei 800,000 iko Tabata Kimanga.

0717022737 kwa mawasiliano
 

Attachments

  • 1450207795615.jpg
    1450207795615.jpg
    106.8 KB · Views: 894
  • 1450207825486.jpg
    1450207825486.jpg
    108.4 KB · Views: 559
  • 1450207854134.jpg
    1450207854134.jpg
    109.4 KB · Views: 466
  • 1450207888463.jpg
    1450207888463.jpg
    113.8 KB · Views: 764
sasa hapo heshima imeshushwa vipi hiyo pikipiki tungetegemea ingekuwa na namba mpya sasa hizo zilizopo unaweza ukaenda ku re new number ukayasikia hayo anayoyasema huyo mdau hapo
 
Mimi ninayo kama hiyo bei 750000,namba mpya na bado iko bomba sanaaaa.kwa anaye hitaji ani pm nimuachie mzigo
 
Jamani fasiliteta kutengeneza thread yako na ukapost hio pikipiki kuna tatizo mbona unakuwa hivo.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo kuna pikpik ambazo hazijalipiwa kod kwa hiyo kama kad yake haina muhur wa kuonyesha iliponunuliwa na hana risit kaa nayo mbali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom