Pikipiki inahitajika

Pikipiki inahitajika

1477074871484.jpg
milion2 bado mpyaaaaaaaaaaaaaaaa haijatumika kwa kazi yyt ilikuw ya kuendea sokoni tu
 
Habari
Husika na kichwa hapo juu, Kwa yoyote anae hitaji pikipiki, Bei ni Laki 9 na Nusu, Tafadhari tuwassiliane kwa namba ifuhatayo +44 7452 925919, Sanmahani sijajua jinsi ya ku upload picha hapa jamii forum lakini unaweza kunicheck WhatsApp +44 7452 925919 ili nikutumie picha ya pikipiki

Njoo WhatsApp nikutumie picha, Pikipiki ipo Dar Es Salaam, Tegeta Nyuki
Phone: +44 7452 925919 pikipiki ipo kwenye hali nzuri sana, Haina tatizo lolote. Nina nyaraka zote za umiliki wa pikipiki, Haidaiwi na ipo kwenye hali nzuri sana
Ahsante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom