Pikipiki Fekon inauzwa

Pikipiki Fekon inauzwa

mbwiganyuki

Senior Member
Joined
Nov 3, 2012
Posts
156
Reaction score
105
Iko poa kabisa, ina miezi saba tu !toka imenunuliwa, bei yake ipo poa pia, kwa anayehitaji ni Pm tafadhali. Mali ni yangu so hakuna dalali!
 
Mkuu unapotoa tangazo la biashara, weka picha, eleza uko sehemu gani (location) na ujifunze kuandika namba vizuri. Sijawahi kuona pikipiki tena FEKON inauzwa 9,500,000

Top price 9500,000/= kama uko serious ni pm nikupigie tuongee
 
Mkuu unapotoa tangazo la biashara, weka picha, eleza uko sehemu gani (location) na ujifunze kuandika namba vizuri. Sijawahi kuona pikipiki tena FEKON inauzwa 9,500,000

Nimekusoma mkuu, sikuona hilo kosa kuhusu picha nitafanya mchakato, lakini nilimaanisha Tsh 950,000/= naomba ieleweke hivyo na si vinginevyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom