Sikuhizi zimepigwa marufuku... Ukikamatwa unaendesha au umeipaki Faini ni laki nne na hamsini au jela miezi kadhaa na pikipiki inataifishwa ...hazina deal Tena... wawekee bei poa watu wa scraper wakatekate chuma chakavu... Nadhani kilo moja ya chuma ni 450/=