Pikipiki aina ya fekon bei laki 9

Pikipiki aina ya fekon bei laki 9

mgonjwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
514
Reaction score
223
Fekon ina namba "c " bado ipo fresh kabisa, kadi yake ipo imetumika miezi 8 ! Nauza, sababu ya kuuza nataka kujilipia ada ya chuo !! Serious buyer ni pm
 
Duuh, Je ishatumika katika uhalifu ?? nauliza tu...maana sasa pikipiki nyingi zinauzwa wakati huu...!
 
Hapana haijawahi kutumika katika uhalifu @ zamiluni zamiluni
 
Fekon ina namba "c " bado ipo fresh kabisa, kadi yake ipo imetumika miezi 8 ! Nauza, sababu ya kuuza nataka kujilipia ada ya chuo !! Serious buyer ni pm

Nakishaur usiuze pikipiki, ili ulipe ada ya chuo kwa sasa. Ngoja nikwambie ndugu utasoma utamaliza utarud mtaani huna asset na huna mtaj wa biashara na hamna kazi, elimu ipo na haina mwsho nakushaur itumie hyo bodaboda ule vchwa utunze pesa ndo uje ulipie ada ila usiuze moja kwa moja hiyo asset ambayo ni chanzo cha mapato unless una vyanzo vingine vya mapato. Nawasilisha
 
Muuzaji anakimbia kuweka number ya sim wala picha.
Kuweni makini wanunuzi,make sure mauziano yanafanyika kwa utaratibu sahihi,la sivyo utaozea segerea.
 
sina ela tuuh lakin pikipiki ningeichukua fasta..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom