Pikipiki aina ya Boxer BM 125 inauzwa

Pikipiki aina ya Boxer BM 125 inauzwa

trudie

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
4,454
Reaction score
10,822
Habari wanajukwaa, natumai tunaendelea salama na majukumu yetu.

Pikipiki inauzwa aina ya Boxer MB 125 namba DMM inauzwa kwa bei ya shilingi 1,300,000. Pikipiki ina document zote muhimu na haina deni kabisa.

Pikipiki haina changamoto yoyote ipo vizuri kabisa. Inapatika De es Salaam Mbezi mwisho.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0629044033 ( WhatsApp) au 0762014386.
IMG_20260123_100443_678.jpg
IMG_20260123_100500_161.jpg
IMG_20260123_100450_933.jpg
IMG_20260123_100522_987.jpg
 
Pikipiki haina kipengere chochote karibuni sana wakuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom