Piga picha yako ya sunset tuwekee hapa

Muda unaosubir upige, pisikali nayo itakupigia cm "uko wapi mm nipo hapa geto kwako"😆😆😆😆😆
Hapo itabidi tuususe huu uzi tuu mana hapatakuwa na jinsi tena
 
Ngoja tuivizie hiyo sunset.....yaana inapatikana kwa machale
 
ili ww ukamilishe album yako ukawauzie mabeberu wenye barafu mwaka mzima kwao
 
Wakuu picha zilifutwa na mods samahanini sana lakini nimezipost upya apo juu samahanini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…