PIGA PESA ZAIDI NA ADSENSE JIFUNZE KWA KUJIFUNZA KITU KINAITWA DFP

Sam Jr official

Senior Member
Dec 21, 2017
108
100
PAWAHOST.COM sasa inatoa offa kabambe kwa huduma mbalimbali,Kama ilivyoorozeshwa hapo chini:-
1. Utengenezaji wa Website kwa gharama kuanzia 150,000/=
2. Utengenezaji wa mifumo mbalimbali kama ya Kibiashara ,shule ,Hospitali 250,000/=
3. Utengenezaji wa Application Mbalimbali zinazoweza kuanzia 75,000/=
4. Utengenezaji wa forums na chatting websites 250,000/=
5. Website Kwa Ajili ya Kuuza Vitu Mbalimbali Online(Kama Amazon)=350,000/=

Pia tunatoa huduma ya Domain Reseller na Hosting kwa package zifuatazo:-
1 GB Disk Space
20GB Bandwidth
UNLIMITED Email Accounts
Free Data Backup
Free SSL Configuration per domain

Kwa package hizo hapa juu gharama ni 55,000 Tu kwa Mwaka,Tupigie sasa kwa namba +255687 535650 ,Email :info@pawahost.com
 
Ungeanzisha uzi wako nawashauri watu wasihost kwako maana kama unavamia nyuzi site zao zitakuwa salama?
 
Mkuu kama sina advertisers wangu inanipaje faida?
 
Nawashauri watu wawe makini na hii web, washuke chini ya site waangalie kama wataweza bonyeza maneno yotote na page yake ikafunguka(Nimejaribu toka mchana lakini nimeshindwa kwahiyo maana yake hii ni site ya kupigwa pesa) ...... THIS IS A SCAM SITE....MSIMUAMINI HUYU.
 
Ungeanzisha uzi wako nawashauri watu wasihost kwako maana kama unavamia nyuzi site zao zitakuwa salama?
Nawashauri watu wawe makini na hii web, washuke chini ya site waangalie kama wataweza bonyeza maneno yotote na page yake ikafunguka(Nimejaribu toka mchana lakini nimeshindwa kwahiyo maana yake hii ni site ya kupigwa pesa) ...... THIS IS A SCAM SITE....MSIMUAMINI HUYU.
 
NINA UZOEFU NA DFP KWA KIPINDI CHA MIEZI 7 HIVI............DFP INAKUWEZESHA WW KUONYESHA MATANGAZO YA ADVERTISER WAKO MOJA KWA MOJA KWA KUYASET KATKA DFP KAMA WANAVYO FANYA HAPA JAMII FORUM....NA ENDAPO ADVERTISER AKASITISHA KUONYESHA MATANGAZO AU MUDA MLIO KUBALIANA UKAISHA BASI MOJA KWA MOJA ADSENSE WANAENDELEA KUONYESHA MATANGAZO YAO.......PINDI UKISHA SET PROCESS ZOTE HIZI NI AUTOMATIC.........KAMA HUTO KUWA NA ADVERTISER BADO UTAKUWA NA UWEZO WA KUPIGA HELA KWA MFUMO WA CPM KAMA KUTAKUWA NA ADVERTISER WA ADSENSE ANAE LIPA KWA CPM NA KAMA KWENYE SETTING ZAKO UTAKUWA UMEWEZESHA MATANGAZO YA ADSENSE YAPITIE DFP
 
PAWAHOST.COM sasa inatoa offa kabambe kwa huduma mbalimbali,Kama ilivyoorozeshwa hapo chini:-
1. Utengenezaji wa Website kwa gharama kuanzia 150,000/=
2. Utengenezaji wa mifumo mbalimbali kama ya Kibiashara ,shule ,Hospitali 250,000/=
3. Utengenezaji wa Application Mbalimbali zinazoweza kuanzia 75,000/=
4. Utengenezaji wa forums na chatting websites 250,000/=
5. Website Kwa Ajili ya Kuuza Vitu Mbalimbali Online(Kama Amazon)=350,000/=

Pia tunatoa huduma ya Domain Reseller na Hosting kwa package zifuatazo:-
1 GB Disk Space
20GB Bandwidth
UNLIMITED Email Accounts
Free Data Backup
Free SSL Configuration per domain

Kwa package hizo hapa juu gharama ni 55,000 Tu kwa Mwaka,Tupigie sasa kwa namba +255687 535650 ,Email :info@pawahost.com ,Website :www.pawahost.com
 
Naomba namba zako nikutafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…