Piga kura hapa

Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
5,146
4,312
Habari zenu ndugu wadau wa Jf hasa hapa katika ukumbi mwanana wa JUKWAA LA SIASA.
Leo tujaribu kufanya ka utafiti binafsi kwa kupiga kura fulani hapa.

1.hivi unadhani ni chama gani kilichokuwa na mvuto ndani ya mwaka 2014 na chama gani kilichokera zaidi ?
2.unafikiri ni mwanasiasa gani kijana alovutia vijana wenzake wa Tanzania ?
3.ukiwa kama mpiga kura,hivi unafikiri ni jinsi gani mbunge wako alovyoweza kutimiza ahadi zake ndani ya mwaka huu na unamshauri nini diwani wako ?
4.yapo mengi yalotokea mwaka huu ktk serikali yetu,je ni lipi lililokutisha tamaa au kukupa moyo.
5.je ni chama gani kilichotekeleza ilani au ahadi zake ?
6.kwa utabiri wako ni nani atashinda uraisi mwaka 2015

7.kama ungepata nafasi ya kukutana na raisi wako ungemshauri afanye nini ?
8.je ni kipi chema ambacho CCM au CHADEMA au CUF au TLP au NCCR au chama chochote,wamefanya nini chenye maslahi kwa taifa ?
9.nani wa kulaumiwa juu ya siasa mbaya za Tanzania na nani wa kupongezwa juu ya siasa zetu ?
10.ni kitu gani kilichofanywa na wanasiasa watanzania ambacho unadhani kiliwaudhi watanzania ?
"KILA MTANZANIA ANAHAKI YA KUISEMEA TANZANIA"
 
Habari zenu ndugu wadau wa Jf hasa hapa katika ukumbi mwanana wa JUKWAA LA SIASA.
Leo tujaribu kufanya ka utafiti binafsi kwa kupiga kura fulani hapa.
MOJA=hivi unadhani ni chama gani kilichokuwa na mvuto ndani ya mwaka 2014 na chama gani kilichokera zaidi ?
MBILI=unafikiri ni mwanasiasa gani kijana alovutia vijana wenzake wa Tanzania ?
TATU=ukiwa kama mpiga kura,hivi unafikiri ni jinsi gani mbunge wako alovyoweza kutimiza ahadi zake ndani ya mwaka huu na unamshauri nini diwani wako ?
NNE=yapo mengi yalotokea mwaka huu ktk serikali yetu,je ni lipi lililokutisha tamaa au kukupa moyo.
TANO=je ni chama gani kilichotekeleza ilani au ahadi zake ?
SITA=kwa utabiri wako ni nani atashinda uraisi mwaka 2015
SABA=kama ungepata nafasi ya kukutana na raisi wako ungemshauri afanye nini ?
NANE=je ni kipi chema ambacho CCM au CHADEMA au CUF au TLP au NCCR au chama chochote,wamefanya nini chenye maslahi kwa taifa ?
TISA=nani wa kulaumiwa juu ya siasa mbaya za Tanzania na nani wa kupongezwa juu ya siasa zetu ?
KUMI=ni kitu gani kilichofanywa na wanasiasa watanzania ambacho unadhani kiliwaudhi watanzania ?
"KILA MTANZANIA ANAHAKI YA KUISEMEA TANZANIA"

Sijakuelewa, tunapigaje hiyo kura?
 
Karatasi za kupigia kura zitakuwa nying sana. Unganisha vipengele tupate viwil au vitatu then tuwekee poll ili tutiririke ila mi nakerwa na ccmapingamizi from botom of my heart
 
Bw Idd Ninga. Ungewaomba Mods wakuwekee poll.Hii ingekurahisishia utafiti/uchunguzi wako.Ilivyo sasa hivi ni ngumu kwangu kutoa maoni yangu kuhusu unachochunguza.
 
Last edited by a moderator:
NEGATIVE IMPACT BROUGHT BY CCM While POSITIVE IMPACT BROUGHT BY UKAWA. Kafulila deserves to be honored PHD for roles he played in ESCROW TEGETA ACCOUNT Scandal.
 
Its one sided.

Ni kama unainfluence watu hivi, from point of psychology.
 
Back
Top Bottom