Picture of today

mbona mimi siioni, picha zingine huwa mnaziona vipi.
 
Mke wa wasira huyu au mnataka kuniambia namfananisha.
 
mbona kawaida kwani wadada warembo wa tz wamekwisha jaman au ndio udhungu?
 
mi pia siioni,naona kama mnajifariji tu kusema mnaiona ilihali hakuna kitu. sioni picha yyte,ila nilikimbilia kweli kumuona huyo cute
 
hawa watu wanaharufu mbaya kama kitimoto alielowa na mvua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…