Ooyooo na sisi tungempata kiongozi kama huyu basi naona tungekuwa mbali sana na maendeleo tena makubwa na ingekuwa tishiyo kwa ulaya maana kila rasirimali zote mungu katujalia na zengene wala hatuzijui kazi zake lakini nahau penye miti hakuna wajenzi