Kichwa cha habari chajieleza.
Gari tajwa inatafutwa. Iwe katika hali nzuri na ya kuanzia mwaka 1998 sio chini ya hapo na no ianzie B.
Yaweza kuwa ya nissan,nissan datsun au toyota hilux muhimu iwe imara kwa safari hasa za dar-arusha. Mwenye nayo njoo pm fasta.
Pia hata kama unayo ya zaidi ya hela hiyo tuwasiliane nikiipenda tunazungumza namna ya kukuttaftia hela ya kuongezea