Pick up Nissan inauzwa Arusha

Pick up Nissan inauzwa Arusha

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,508
Reaction score
13,975
Habari zenu?

Ninauza Nissan Pick up, ya mwaka 1989,capacity yake 2 tons, inatumia Diesel.watu watatu wanakaa kwenye kibini ya dereva.

Ipo tu imepaki nyumbani na ipo kwenye hali nzuri zaidi ni kubadilisha betri, road licence yake imeisha September 2014.

Kwa wale wanaohitaji gari za kufanyia kazi hii itawafaa zaidi.

Sababu za kuuza mmiliki ninaishi zaidi DAR na kuacha kuitumia gari hiyo kwa muda mrefu sasa.

Kwa aliye serious aje na aione kwa macho, sina kamera ya kupigia picha,natumia simu isio na kamera.

BEI:MILLIONI SITA NA NUSU
Mawasiliano: 0752489529 au NI PM.
 
unauza bei gani. Ungejitahidi kutupia japo ka picha ingetusaidia sana kujua hali halisi ya hiyo gari
 
Habari zenu?

Ninauza Nissan Pick up, ya mwaka 1989,capacity yake 2 tons, inatumia Diesel.watu watatu wanakaa kwenye kibini ya dereva.

Ipo tu imepaki nyumbani na ipo kwenye hali nzuri zaidi ni kubadilisha betri, road licence yake imeisha September 2014.

Kwa wale wanaohitaji gari za kufanyia kazi hii itawafaa zaidi.

Sababu za kuuza mmiliki ninaishi zaidi DAR na kuacha kuitumia gari hiyo kwa muda mrefu sasa.

Kwa aliye serious aje na aione kwa macho, sina kamera ya kupigia picha,natumia simu isio na kamera.

BEI:MILLIONI SITA NA NUSU
Mawasiliano: 0752489529 au NI PM.
Picha mdau..tuanzemaongezi
 
Simu haina camera ila ina android na JF duuu makubwa
 
Ni single cabin ila inabeba watu 3 kwa mujibu wa kadi yake, sijakuelewa swali lako la engine gani? ukitaka naweza kukutumia copy ya kadi ya gari kwenye email, nipe email yako.

Ok mkuu...niambie ina engine gani na pia ni double cabin au ni single?
 
Situmii simu kuingia JF.
Picha haina uwezo wa kuonesha kitu kwa uhalisia wote kama naked eyes.
Karibuni wote muone gari ya kazi na kuinunua.

Simu haina camera ila ina android na JF duuu makubwa
 
Sio lazima uje kununua wewe uliye mbali na Arusha kama hata nauli huna sasa gari utanunua na nini? Hata huko ulipo magari yapo mengi yanauzwa.

Nadhani hapa hujatumia busara kumjibu huyu mtaje.

Sidhan kama mtu anaweza kufikiria kununua gari halafu hana nauli ila tatizo limeanza na wewe muuzaji kutoku weka picha sasa na swala la nauli should be part of negosition ila bado nasisitiza weka picha maana sidhan kama kweli unalengo la kuuzia wakazi wa arusha tu.
 
huyu jamaa hajui biashara achaneni naye
 
Sijui nauli, sijui picha... si amesha sema jamani kwamba yuko Dar.. na isitoshe kama mtu ana nia ya kununua hilo gari kwa aina ya gari aliyoitaja hapa juu, basi kadri ya uwezo wa mtu aliye karibu na hilo kitu akaicheki.. mtoa taarifa acha kubabaishwa, ndio kawaida ya wanaJF kusumbua akili mara zingine.. mtu akienda dukani popote pale anarudishiwa nauli aliyoigharamia????
 
Nimesema hata kama ningeweka picha suala la mtu kuja physically na kukagua gari lingekuwa pale pale,kwa kuwa hili gari sio jipya hivyo mtu lazima ajiridhishe kwa kuliona LIVE,magari mapya ndio watu wana press order baada ya kuona picha tu. Mpaka sasa kuna watu wawili tayari wameshaona gari,sasa wale wanaobaki kusema kuwa sipo serious na kuuza hili gari,sijui wana maana gani?

Back
Top Bottom