Pichay a mwalimu Nyerere

Mkulia

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
375
Reaction score
95
Nani amewahi kuiona picha ya mwalimu Nyerere akiwa amevaa sare ya CCM? kama yupo aliyewahi kuiona naomba aiweke humu JF tupate kuiona the way alivyokuwa anaonekana. Kama picha hiyo haipo tujiulize ni kwanini? NB: Usiiweke picha ya kutengeneza.
 
Sijawhi kuiona kiukweli, ila ninavyo fahamu UCCM wa MWALIMU ulikuw moyoni na siyo kwenye mavazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…