PICHANI ni MDOGO WAKE MAREHEMU KANUMBA...

Sijakuelewa, tuwekee na ya mdogo wake Lusinde kama unayo.
 
kanumba is the old story wadau,tukubali hatarudi tena,tumwache apumzike.
 
mh sasa amefanyaje? au kuna kastory umekasau? au ulitaka tumfahamu? mh tuyasahau ya kanumba bwana, tujiangalie sisi tuliop sasa.
 
mkurugenzi,

kama ulitaka kuwafananisha wala usijisumbue hawafanani hata kidogo.
 
sawa ana onekana kachoka. ila kwenye hii dunia kila mtu alikuja mwenyewe na ataondoka mwenyewe kama (eg kanaumba). kama kaka ali struggle akatoka dogo naye atafute vyake

NB: huyu anaonekana ka mtoto wa mamdogo sio mama kanumba
 
Umetumwa na nani? tuambie basi! vp kakupa mshiko kwa kazi hii nzur uliyoifanya? MIJITU MINGINE BANA, OVYO KABISA!
 
Kanumba mwenyewe ndio nani?
Ufafanuzi
Na huyo mdogo wake kafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…