Huyo mtu sura yake ni ya kiwiziwizi kabisaaaa,hizi biashara za kumkabidhi mtu mtaji unaohamishika wote inabidi kuwa makini sana na kumuomba Mungu akupe mtu mwaminifu,dah warombo kwa wizi tu hawajambo,pole nikiona sura kama hiyo hata kama ni kaka yake nakupigia mkuu.