Leo Tarehe 20 Apr 2024 ni mechi ya
Simba na
Yanga.
Leo pia taifa lina huzuni ya kuondokewa na mrangazaji mahiri, mshereheshaji na mburudishaji wa kituo cha radio cha Clouds FM, kipindi cha Jahaza,
Captain wa Jahazi ndugu Gadner G Habash.
View attachment 2969108