Picha za YANGA na Black Leopards

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093

Didier Kavumbagu (kushoto) akijaribu kumtoka beki wa Black Leopards, wakati wa Mchezo huo, uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Wachezaji wa Yanga, wakishangilia bao lililofungwa na Jerry Tegete.​
jj

Kikosi cha Yanga.

Kikosi cha Black Leopards.

Mchezaji wa Yanga, Kabange Twite (kushoto) akimiliki mpira huku akidhibitiwa na beki wa Black Leopards, Nkosiabo Xakane, wakati wa mchezo huo.

Mashabiki wa Yanga, wakishangilia bao lililofungwa na Jerry Tegete. (PICHA NA SUFIANI MAFOTO)​
 

Hao kwenye duara bila shaka ni ndugu tena Mapacha si ndio eeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…