WEWE Mwanaume unayejidanganya na hayo ma Movie ya X unayoangalia huko kisha unakuja kufanyia mazoezi kwa mtoto wa watu...acha huo ujinga..MARA umnyanyue mguu juu, mara umchanishe msamba huko, unambinua kama mcheza kungfu...
SIKIA wale wasichana ulioona kwenye hizo filamu wapo kazini aisee na wamefanya mazoezi kabla ndo maana unawaona wanajitanua bila wasiwasi.....
WEWE unaenda kwa msichana ambaye hana hata mazoezi unamtanua halafu unajifanya we unajuaaaa mapenzi, UJINGA mkubwa......
TENA kuna mwanamke anaitwa ANANIA NKYA yule mtetea haki za wanawake akikukta aisee unafungwa..haiwezekani umfanye msichana kama mdoli aisee....
ANAWEZA asikwambie kuwa anaumia lakini amini kuwa hapati raha yoyote unamtesa tu bure..
NA NYIE wasichana mambo ya kujiliza liza hovyo kama yale masichana ya kwenye filamu za X muache, yaani ukiguswa kidogo tu 'aaaaaah oooosh!!" shenzi kabisa hisia gani hizo unaguswa nywele unasisimuka, unaguswa kucha unapiga makelele.....
##ACHENI KUDANGANYIKA NA ZILE FILAMU ZA X##
Ujumbe umewafikia

Mbaya kabisa ni kitendo cha watu kuchezeana kwenye sewage system aka tigo.
Ni mipicha hiyo hiyo inayowafanya watu wajaribu hata kuwala wapenzi wao nyuma!!!
mkuu hizi picha ni janga la taifa
Vipi kakutolea siri zako nje nini.............yeoou......salaleeeeeeee.......
Ahahahahaha
Hehehehehehe
Hihihihihihihihi
Nimecheka kwenye folen ya benk.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Na wewe ram (Random Access Memory) ujumbe umekufikia.