Mi ninachopendea Mikoani hakuna kushangaana shangaana yaani sababu kama hao wanaochambua njegere hawana hofu wanachambua huku safari inakwenda wakifika sokoni ni kuuza tu.
Ila ingekuwa mjini sasa. Watu wangeona ni jambo la ajabu kuwahi kufanyika.
hahhha asante sana mkuu, watu wa mikoani huwa wanatuponda wanaume wa dar, kudadeki kumbe wanawake na wasichana wa huko ndivyo walivyo walaahi hata bure sichukui.
Wengine sio wa mkoani!!
Kuna sura humo za manzese, jangwani na pale wapi kweli.....mi sio mzoefu wa daslam nakujaga kuleta viazi tu nakurudi bara( mkoani)