Hata Kuku wa Zamani ni wazuri kuliko wa Siku hizi
The old is gold
Julius alikuwa na Mwili mzuri sana 23 years alirudi Butiama na Mwili wake ule ule bila ya kiriba Tumbo
Mzee mzima Miaka miwili tu Tumbo linakaribia magoti halafu anadanganya Ana frustration!