Wakati nikitaka kuchunguza kama tcu wameshatoa selection kwenye tovuti yao nimekutana na picha na video za ngono, je ni kweli tcu hawana security ya kuweza kudhibiti website yao au ni uzembe wa serikali.
Wakati nikitaka kuchunguza kama tcu wameshatoa selection kwenye tovuti yao nimekutana na picha na video za ngono, je ni kweli tcu hawana security ya kuweza kudhibiti website yao au ni uzembe wa serikali Ya JAKAYA MRISHO KIKWETE.
Kuongoza watu ni lawama tu. kuna siku rais atalaumiwa kwa nini anaachia watu wanakula kuku na wali majumbani mwao wakati wengine wanakula ugali na maharage. Usiombe kuwa kiongozi, ukitii kila lawama utakufa kabla ya wakati wako.
The buck stops with the person who appoints the leaders of these institutions!! He appoints mediocre people who also recruit mediocre assistants and hence the mediocre performance!!
Huo ni upuuzi unaofanywa na vijana wa chadema kila kukicha kumuhusisha raisi na mambo ya hajabu hajabu siku hizi heshima hamna enzi za mwalimu watu wapuuzi kama hawa walikuwa wanafanywa kitu mbaya ambayo hawezi adisia kwa watu wengine!
Huo ni upuuzi unaofanywa na vijana wa chadema kila kukicha kumuhusisha raisi na mambo ya hajabu hajabu siku hizi heshima hamna enzi za mwalimu watu wapuuzi kama hawa walikuwa wanafanywa kitu mbaya ambayo hawezi adisia kwa watu wengine! Umeshawahi fanyiwa nini? Uliliwa tiGo nini?