mwitaz JF-Expert Member Joined Feb 19, 2012 Posts 313 Reaction score 93 Sep 21, 2015 #21 Kidibwe said: Sio kajikojolea kajinyea audio imesambaa mji mzima Click to expand... AUDIO ya kughushiwa. Kama wana uhakika walete Picha au Video!!!
Kidibwe said: Sio kajikojolea kajinyea audio imesambaa mji mzima Click to expand... AUDIO ya kughushiwa. Kama wana uhakika walete Picha au Video!!!
C communituofficer2000 Member Joined Jul 29, 2015 Posts 15 Reaction score 1 Sep 21, 2015 #22 Is too much', mmepitiliza. Kumbukeni heshima sio bidhaa ambayo unaweza kuinunua bali inapatikana bure. Sio maadili ya kitanzania. Hata Kama mi tofauti za Kisiasa, isifikie hapo,
Is too much', mmepitiliza. Kumbukeni heshima sio bidhaa ambayo unaweza kuinunua bali inapatikana bure. Sio maadili ya kitanzania. Hata Kama mi tofauti za Kisiasa, isifikie hapo,