Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Kama hiyo ndo picha yako ya leo, hapo kwenye hiyo picha wewe ni yupi?
Kama hiyo ndo picha yako ya leo, hapo kwenye hiyo picha wewe ni yupi?
Picha hii ya photoshop imeandaliwa kwa makusudi makubwa ya kuikasirisha Marekani juu yanayotokea mashariki ya kati - Israel vs Palestine.
Kama hiyo ndo picha yako ya leo, hapo kwenye hiyo picha wewe ni yupi?
Kumbe huku chini jike.Nadhani mwenye mnyororo shingoni.