Picha yangu ya leo

Hao wahindi wanaoweka maua wanaweza kumfanya awe mmoja wa miungu yao.
 
Mbona hii ni picha ya Mandela?

hajampatia awarudishie pesa yao

Amavubi hata mimi nilikua najiuliza huyu kwenye hii sanam/picha ni nani? Kama wasigeandika Mandela huwezi kupatia hata kama ukipewa nafasi 10 utaje anafanana na nani ya Mandela itakua nje kabisa ya hiyo.

Siku hizi mbona huweki malapa tena kwenye Avator? Thanks
 
Last edited by a moderator:
NILIPATA MSAMARIa mkuu
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…