Picha ya Tanzania ijayo

Kipilipili

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2010
Posts
2,272
Reaction score
1,899
Kama utapewa kalamu ya risasi(pencil) na karatasi ,ukaambiwa uichore tanzania ya kesho,je ungechora picha gani?kwa nini?
 
nisingechora ki2,maana haita kuwepo!
 
Mimi nigechora picha inayoonesha ukiwa yaani hakuna matumaini ya kuishi tena.
 
Ningechora msururu wa meli zikikinga mafuta pwani yetu na kuishia kuambiwa ni sample wanaipeleka ulaya kuipima
 
Mi ningechora picha ya Jaji mkuu akimuapisha Dr. W. Slaa kuwa raisi wa Tanzania
 
Saint Ivuga, hii siamini, ngoja nika-confirm necta!!

Ni kweli mkuu kimkoa ipo 192/192 kitaifa 3108/3108 ndio maana jana Zito alizungumzia kuanguka kwa elimu wilaya ya muheza.
 
thanks guys for comments....nimeona kila mchangiaje amegusa uwanja wake,je what should be done????????ili kama tutaamua tena kukupa fursa ya kuichora tz ya kesho uwe na picha tofauti na hii unayoifikiria sasa?
i appreciate ur comments.
 
ningechora glasi ya maziwa na chupa ya asali....
 
@jan jaweed,kwa nini ungechora hvyo??????????/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…