[h=1]'David Cameron is jogging past, I can't believe that!': The hilarious moment the PM photobombed This Morning host Amanda Holden on live TV while on his morning jog[/h]
Hawa wa kwetu hawana muda huo,wapo bize kusaka rushwa wagawe vitalu vya gesi na mafuta,na mkuu yupo angani muda wote kupiga vibomu ughaibuni,hilo bakuli lake halijawahi kujaa kamwe.