englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
naona mwenye basi ameshatanua hapo
Hakuna sheria iliyovunjwa hapo
Hakuna sheria iliyovunjwa hapo
Sheria inamruhusu hapo sio kosa, angalia mistari mkuunaona mwenye basi ameshatanua hapo
Uko sawa kabisa mistari imeachana, halafu picha inadanganya ukiangalia kwa makini kuna umbali sana hadi kufika hapo kilimani.Lakini naona kama alama za barabara zinaruhusu overtaking (angalia mstari kwa makini naona ni doted/broken) au mi ndo sjui sheria?
Lakini naona kama alama za barabara zinaruhusu overtaking (angalia mstari kwa makini naona ni doted/broken) au mi ndo sjui sheria?
Sahihi mkuu niliovaluk,ahsante kwa hiloSheria inamruhusu hapo sio kosa, angalia mistari mkuu
Ndio maana kuepusha shari ameamua acheze na mstari wa njanoIla dereva wa pikipiki amenyimwa haki yake. Au kwa sababu yeye pikipiki haina bodi.