Ooyooo huyu naona ana moyo mgumu la kutaka kuigeuza kijiji kuwa nchi kama singapuri au Dubai ya Afrika lakini wanamtolea nje wale wanao jifanya masurutani wa kisiasa na wa masilai yao na kizuri hakikosi doa kwa kumbagua kwa Rangi au kwa hana ngozi nyeusi lakini laiti angekuwa na ngozi nyeusi basi zamani sana angekwesha kuwa Rais wa mkataba na kwenda mdundo dundo kwa mageuzi ya kivitendo na siyo ya longo longo au Domo kama tulivozozea huku bara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.