Picha ya siku

Huyu mzee bana...anataka kweli kuwa rais sijui kwa nini
 
Bila shaka hapo ni nyumbani kwao Lufilyo
 
Huyo Mzee kwao huko kwenye migomba wanavyomkubali, ukienda kugombea hao hao wapiga kura wanakuroga


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Hilo pozi kaliona bora kiasi cha kubwaga kwenye umande hizo smartphone zake?!
 
Ningekuwa mshauri wake,ningemwomba apumzike mambo ya siasa aangalie afya yake,afya bora ndo utajiri pekee usio mfano,tatizoi kwa wanasiasa wa kiafrika watakuelewa?,wanataka wafe wakiwa marais....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…