HOWARD BUFFETT ATEMBELEA SERENGETI
Bilionea wa Kimarekani, Howard Buffett, akicheza ngoma na mmasai alipowasili katika uwanja wa ndege kimataifa wa Kilimanjaro. Buffet alikuwa katika mapumziko ya siku tatu katika vivutio vya Tanzania ikiwemo mbuga za Serengeti.