Uzi huu ungejua jinsi ulivyomponda Magufuli walahi usingejipeleka lumumba kuchukua buku saba zako.Naamini hata Magufuli akihamia Chadema kuna threads kibao zitaanzishwa kumsifia juu ya uamzi wake tena wafuasi wa chadema wanaomponda saivi ndio watakaompongeza na kumsifia sana.
Ama kweli siasa inaweza kukutia uchizi[emoji23] [emoji23]
Mambo ya ccm na chadema yanakuhusu wewe, mimi niko huru kumsema yeyote yule.Uzi huu ungejua jinsi ulivyomponda Magufuli walahi usingejipeleka lumumba kuchukua buku saba zako.
Huyo ni mbunge wa singida kaskazini pia alikuwa waziri wa maliasili na utalii.....Hahahahahahhah alafu serious sikuwa namjua
[HASHTAG]#PovuRuksa[/HASHTAG] [HASHTAG]#FukuaMakaburi[/HASHTAG]
Anhaa,sawa mkuu asanteHuyo ni mbunge wa singida kaskazini pia alikuwa waziri wa maliasili na utalii.....
LAZARO NYALANDU
Sasa amejivua uanachama wa CcM pia kajivua na ubunge tayari na inavyosemekana anataka kujiunga na Chadema.
Kuna anaetaka kwenda SHAMBA??
Twendeni Jamani bado hatujachelewa.
[HASHTAG]#PovuRuksa[/HASHTAG] [HASHTAG]#FukuaMakaburi[/HASHTAG]
Lowassa alishinda acha kujitoa ufahamuNyalandu: Marekani inataka niwe rais
Kama lowassa watanzania tulimnyima, sioni Nyalandu akifika hata robo ya kura za lowassa.
Alishinda ufipa, watanzania tulichinja!!Lowassa alishinda acha kujitoa ufahamu
Kipi kinawafanya mkatae tume huru ya uchaguzi kama mnaamini huwa mnashinda.Nyalandu: Marekani inataka niwe rais
Kama lowassa watanzania tulimnyima, sioni Nyalandu akifika hata robo ya kura za lowassa.