Picha ya siku

Shida iko Wapi? Hivi kumpongeza kamanda aliyetekeleza wajibu wake vizuri kwa kumnyanyua iko shida? Tabia za kimama mama mziache!!! Hata ningekuwa mimi ningemnyanyua tu.
 
Hivi huyo mzee alobeba hapo ni nani?leo nimemuona sana insta ila kote nilikomuona nimesahau kusoma caption
 
Naamini hata Magufuli akihamia Chadema kuna threads kibao zitaanzishwa kumsifia juu ya uamzi wake tena wafuasi wa chadema wanaomponda saivi ndio watakaompongeza na kumsifia sana.

Ama kweli siasa inaweza kukutia uchizi[emoji23] [emoji23]
 
Huo ni uchochezi aripoti kituo cha police ndani ya masaa 24 auakamatwe popote alipo...
 
Hivi huyo mzee alobeba hapo ni nani?leo nimemuona sana insta ila kote nilikomuona nimesahau kusoma caption
Huyo ni Donald Trump,rais wa Marekani!

Hiyo picha ilipigwa alipokuwa Burundi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…