DOGofGOD JF-Expert Member Joined Feb 15, 2015 Posts 1,341 Reaction score 480 Jan 23, 2016 #2 Lahaulaah Lakwatah!.Huyu Mzee Ipo Siku Atafia Jukwaani Japo Anaroho 7.
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 17,581 Reaction score 20,216 Jan 23, 2016 #3 DOGofGOD said: Lahaulaah Lakwatah!.Huyu Mzee Ipo Siku Atafia Jukwaani Japo Anaroho 7. Click to expand... Hafi huyu ana roho 7 zimebaki 5
DOGofGOD said: Lahaulaah Lakwatah!.Huyu Mzee Ipo Siku Atafia Jukwaani Japo Anaroho 7. Click to expand... Hafi huyu ana roho 7 zimebaki 5
Danny Massawe JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,299 Reaction score 765 Jan 23, 2016 #4 Jembe ilo
N niah R I P Joined Sep 26, 2015 Posts 7,018 Reaction score 9,307 Jan 23, 2016 #5 Pempas iliregea akawa anaisogeza. Kibofu kilisharegea siyo peke yake wapo wazee wengi ila wao hawanga'nga'niii nadaraka hata ya kwenye familia wanaachia mama au watoto.
Pempas iliregea akawa anaisogeza. Kibofu kilisharegea siyo peke yake wapo wazee wengi ila wao hawanga'nga'niii nadaraka hata ya kwenye familia wanaachia mama au watoto.
Nje ya Mada JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 1,399 Reaction score 492 Jan 23, 2016 #6 englibertm said: Click to expand... Fazaaaaaaaa
Sdebaseboy JF-Expert Member Joined Apr 9, 2015 Posts 793 Reaction score 261 Jan 23, 2016 #7 englibertm said: Click to expand... Hapo walinzi wake watasema ni kwanini hawakukagua mkanda wake wa kuvalia kabla ya matumizi.
englibertm said: Click to expand... Hapo walinzi wake watasema ni kwanini hawakukagua mkanda wake wa kuvalia kabla ya matumizi.
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,263 Reaction score 6,828 Jan 23, 2016 #8 Mbona usawa wa mpini pametuna.....? Ina maana mzee bado wamo nini kwenye yale "mashughuli"??
kenshi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 1,976 Reaction score 1,975 Jan 24, 2016 #9 ha haa huyu dingi kila anacho kifanya anafanya kibabe sana..hana imani na mtu