Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Sina cha kusema! Picha imejitosheleza... Natamani hii picha ipambe kurasa za mbele za magazeti yote ya kesho!
Rais mwenyewe kakosaNatamani Darassa atoe Remix ya wimbo wake "Nishike Mkono" na ile verse ya;
"Kila siki mtaani stori za Diamond na Wema,wakati mtaani kuna vitu vingi vya kusema"
na iwe
"Kila siku mtaani stori za Daudi Bashite,wakati mtaani kuna vitu vingi vya kusema".
Tunakosa priorities wadau.Mungu aturehemu.
Exactly!Rais mwenyewe kakosa
Tukumbushane Mkuu!Tulisharogwa zamaaaniii