Picha ya siku!!.... Simba dume akipata hamu!

Lazma akubali ili familia ikue!
 
Inaonekana supu ya mkia ni tamu sana aiseee!
 
simba ni mnyama mwaminifu sana ana mke mmoja tu
 
Hapo anatongoza

Mkuu kwa simba, jike anapokuwa na joto ndiye anachagua dume wa kumpanda! Baada ya hapo wanavutana nje ya kundi na kufanya harusi siku takriban saba (7) - hamna kula wala kunywa, ni kupandana tu! Na daima jike ndio ana take initiative! Ndio maana wakizaliwa watoto wa kiume majike yanaungana kuwalinda wasiuawe na madume, wanaotaka kupunguza ushindani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…